iqna

IQNA

mfumo wa kifedha wa kiislamu
Mfumo wa Kifedha wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Mkutano wa 15 wa Kimataifa wa Soko la Mitaji ya Kiislamu (ICM) unafanyika, Tehran, mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambapo unashirikisha wataalamu na wasimamizi wa ndani na nje ya nchi.
Habari ID: 3477953    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/26

Fedha
TEHRAN (IQNA) – Sekta ya Mfumo wa Fedha za Kiislamu duniani inatarajiwa kukua kwa karibu asilimia 10 mwaka 2023-2024, kulingana na ripoti ya S&P Global Ratings.
Habari ID: 3476952    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/03

Mfumo wa kifedha wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Rasilimali za benki za Kiislamu barani Afrika zinatarajiwa kuongezeka kwa kiasi kikubwa katika kipindi cha miaka 10 ijayo, kutokana na idadi kubwa ya Waislamu barani humo, shirika la taarifa za kifedha la Moody's Investors Service limebaini katika ripoti mpya.
Habari ID: 3475822    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/22

Mfumo wa kifedha wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amepokea Tuzo ya 2022 ya Mfumo wa Kifedha wa Kiislamu ya Kimataifa kwa juhudi zilizofanywa katika kurekebisha sekta ya fedha ya Ethiopia na kuifanya iwe jumuishi.
Habari ID: 3475796    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/17

Mfumo wa kifedha wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Utafiti mpya umegundua kuwa mfumo wa kifedha wa Kiislamu unastawi kwa kasi na uko tayari kwa ukuaji wa haraka katika miaka ijayo.
Habari ID: 3475693    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/28

Benki za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Sheria mpya inaandaliwa nchini Russia ambayo itasimamia benki za Kiislamu nchini humo katika jitihada za kuvutia wawekezaji kutoka nchi za Kiislamu.
Habari ID: 3475510    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/16

Mfumo wa kifedha wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Baraza la mawaziri la Uganda limefanyia marekebisho Sheria ya Taasisi Ndogo za Fedha ya mwaka 2003, ambayo itawezesha upanuzi wa huduma za kifedha za Kiislamu.
Habari ID: 3475499    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/13